Mwalimu mmoja katika shule ya msingi kaburabura amesema ili kuhakikisha taifa linakuwa kiuchumi ni lazima watanzania tuungane pamoja katika kufanya kazi Akiongea na chanzo chetu cha magatala blogs Amesema yeye mwenyewe anakelwa na tabia za watu kukaa wakilalamikia serikali ili hali huku hawawajibiki kikamilifu, ameongeza kuwa katika taifa lolote lenye watu wasio uwajibikaji hakuna maendeleo _taifa lolote lisilo na watu wenye kujituma kufanya kazi hakuna maendeleo_ Alisem