Mwalimu asisitiza uwajibikaji nchini
Mwalimu mmoja katika shule ya msingi kaburabura amesema ili kuhakikisha taifa linakuwa kiuchumi ni lazima watanzania tuungane pamoja katika kufanya kazi
Akiongea na chanzo chetu cha magatala blogs
Amesema yeye mwenyewe anakelwa na tabia za watu kukaa wakilalamikia serikali ili hali huku hawawajibiki kikamilifu, ameongeza kuwa katika taifa lolote lenye watu wasio uwajibikaji hakuna maendeleo
_taifa lolote lisilo na watu wenye kujituma kufanya kazi hakuna maendeleo_ Alisem
Comments
Post a Comment