DUKA LA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KABURABURA LAIBIWA

Duka la mwalimu mwalimu mmoja wa shule ya msingi kaburabura ambalo linamlikiwa na mwalimu Okeng'os Otaego Kinanda limeibiwa usiku wa kuamkia leo tarehe 01 /11/2017 Mmiliki wa hilo amekuta asubuhi Hali ya sitofahamu ambapo vitu vilivyokuwemo ikiwa ni pamoja na simu za wateja ambazo ziliachwa Kwa lengo la kuchajiwa zimeibiwa Uongozi wa serikali Kwa kushirikiana na wananchi unaendelea Kufanya upelelezi juu ya tukio hilo Aidha mwenyekiti wa kijiji cha kaburabura amelaani vikali vitendo hivi viovu ambavyo vimekuwa vikifanyika hapo kijijini Pamoja na tukio hilo pia wezi hao wameiba pia duka la mmiliki mmoja anayefahamika Kwa jina la laurence

Comments

Popular posts from this blog

BADI SEC MEMBERS GROUP

MAKUBWA