MAKUBWA

Kamishina wa tume ajiuzuru wazifa wake,

Mmoja wa maafisa wakuu tume ya uchaguzi Kenya (IEBC) Dkt roselyn akombe ametangaza kujiuzulu katika tume hiyo chini ya wiki moja kabla ya uchaguzi mpya wa urais kufanyika nchini humo

Dkt. Akombe ametuma Taarifa Kutoka Mjini New York anakoishi ambapo  alikuwa akifanyia kazi umoja wa mataifa kabla ya kujiunga na tume ya IEBC

katika taarifa ,dkt Akombe alisema kuwa marejeleo ya uchaguzi utakaofanyika hauyafikii matarajio ya uchaguzi ulio huru na wa haki

"bbc"
                  Dkt. Akombe

Comments

Popular posts from this blog

BADI SEC MEMBERS GROUP