TANZANIA YA VIWANDA.
Katika kuhakikisha kuwa Tanzania ya viwanda inafikiwa, wataalamu wa Elimu wameshauri kuwa ufundishaji wa masomo ujikite katika vitendo zaidi Hali ambayo itachochea katika uibuaji wa maarifa na vipaji mbalimbali
Akiyasema Hayo mkuu wa Chuo cha ualimu Bunda alitaja kuwa moja ya sababu zinazochagiza Tanzania isiweze kusonga mbele kimaendeleo na ili Hali Ina kila Aina za rasilimali mhimu Kama vile madini ni aridh ni ukosefu wa wataalamu mbalimbali katika masuala ya Tekinolojia
Pia Mwl YOHANA MULLAH ameongeza kuwa ili kuhakikisha Tanzania inavuka walimu wana nafasi Kubwa Sana katika kuhakikisha ujuzi unakuzwa kwa watoto ikiwa ni pamoja na Uzalendo utakaowawezesha watoto kuishi vema katika Jamii hiyo
Watoto wakijifunza stadi mbalimbali za ufundi ikiwa ni pamoja na kufinyanga vitu


Comments
Post a Comment