Kamishina wa tume ajiuzuru wazifa wake, Mmoja wa maafisa wakuu tume ya uchaguzi Kenya (IEBC) Dkt roselyn akombe ametangaza kujiuzulu katika tume hiyo chini ya wiki moja kabla ya uchaguzi mpya wa urais kufanyika nchini humo Dkt. Akombe ametuma Taarifa Kutoka Mjini New York anakoishi ambapo alikuwa akifanyia kazi umoja wa mataifa kabla ya kujiunga na tume ya IEBC katika taarifa ,dkt Akombe alisema kuwa marejeleo ya uchaguzi utakaofanyika hauyafikii matarajio ya uchaguzi ulio huru na wa haki "bbc" Dkt. Akombe