Posts

BADI SEC MEMBERS GROUP

Image
Mpango wa kuanzisha group la watu wote wanaounda Badi ni pamoja na kushirikiana kutatua changamoto mbalimbali za kijamii, kiuchumi na kisiasa pia Hivyo ni jukumu letu sisi sote kuwa wamoja na kushirkiana katika kuhakikisha tunafikia azma ya mambo yote yatakayo tusaidia Wapo wafanyabiashara wa cryptocurrecy na forex ambazo ndizo biashara zinazolipa Sana Kwa Karine hii Share hii habari na wenzio wa Badi 👉👉👉https://chat.whatsapp.com/6cHucP8fmCP5Fzgbg78tjs Welcome all

DUKA LA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KABURABURA LAIBIWA

Image
Duka la mwalimu mwalimu mmoja wa shule ya msingi kaburabura ambalo linamlikiwa na mwalimu Okeng'os Otaego Kinanda limeibiwa usiku wa kuamkia leo tarehe 01 /11/2017 Mmiliki wa hilo amekuta asubuhi Hali ya sitofahamu ambapo vitu vilivyokuwemo ikiwa ni pamoja na simu za wateja ambazo ziliachwa Kwa lengo la kuchajiwa zimeibiwa Uongozi wa serikali Kwa kushirikiana na wananchi unaendelea Kufanya upelelezi juu ya tukio hilo Aidha mwenyekiti wa kijiji cha kaburabura amelaani vikali vitendo hivi viovu ambavyo vimekuwa vikifanyika hapo kijijini Pamoja na tukio hilo pia wezi hao wameiba pia duka la mmiliki mmoja anayefahamika Kwa jina la laurence

SHULE YETU, KABURABUR\

Image
Tizama picha mbalimbali za shule ya msingi KABURABURA Kama zinavyoonekana hapa

BADI YETU ,YUPO JUMA JOKALA, NGASA DAKTA

Image
Fahamu Kata hii ya Badi ambayo ni miongoni mwa Kata zilizo katika wilaya ya maswa upande wa magharibi Kata hii ina shule moja ya secondary na shule tano za msingi Baadhi ya wanafunzi walio hitimu shule ya sec Juma jokala katika ubora wake  Yohana mullah at school, bitcoin trader Lucy Ndege
meta name="propeller" content="037fb440413e6bade1c041ba5437f7b7" />

*LIVE MATOKEO DARASA LA SABA HAYA HAPA*

Image
👉👉👉 http://magatala.blogspot.com/2017/10/new-alert-matokeo-darasa-la-saba-haya.html _ps0902034.htm

MAKUBWA

Image
Kamishina wa tume ajiuzuru wazifa wake, Mmoja wa maafisa wakuu tume ya uchaguzi Kenya (IEBC) Dkt roselyn akombe ametangaza kujiuzulu katika tume hiyo chini ya wiki moja kabla ya uchaguzi mpya wa urais kufanyika nchini humo Dkt. Akombe ametuma Taarifa Kutoka Mjini New York anakoishi ambapo  alikuwa akifanyia kazi umoja wa mataifa kabla ya kujiunga na tume ya IEBC katika taarifa ,dkt Akombe alisema kuwa marejeleo ya uchaguzi utakaofanyika hauyafikii matarajio ya uchaguzi ulio huru na wa haki "bbc"                   Dkt. Akombe