Posts

DUKA LA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KABURABURA LAIBIWA

Image
Duka la mwalimu mwalimu mmoja wa shule ya msingi kaburabura ambalo linamlikiwa na mwalimu Okeng'os Otaego Kinanda limeibiwa usiku wa kuamkia leo tarehe 01 /11/2017 Mmiliki wa hilo amekuta asubuhi Hali ya sitofahamu ambapo vitu vilivyokuwemo ikiwa ni pamoja na simu za wateja ambazo ziliachwa Kwa lengo la kuchajiwa zimeibiwa Uongozi wa serikali Kwa kushirikiana na wananchi unaendelea Kufanya upelelezi juu ya tukio hilo Aidha mwenyekiti wa kijiji cha kaburabura amelaani vikali vitendo hivi viovu ambavyo vimekuwa vikifanyika hapo kijijini Pamoja na tukio hilo pia wezi hao wameiba pia duka la mmiliki mmoja anayefahamika Kwa jina la laurence

SHULE YETU, KABURABUR\

Image
Tizama picha mbalimbali za shule ya msingi KABURABURA Kama zinavyoonekana hapa

BADI YETU ,YUPO JUMA JOKALA, NGASA DAKTA

Image
Fahamu Kata hii ya Badi ambayo ni miongoni mwa Kata zilizo katika wilaya ya maswa upande wa magharibi Kata hii ina shule moja ya secondary na shule tano za msingi Baadhi ya wanafunzi walio hitimu shule ya sec Juma jokala katika ubora wake  Yohana mullah at school, bitcoin trader Lucy Ndege
meta name="propeller" content="037fb440413e6bade1c041ba5437f7b7" />

*LIVE MATOKEO DARASA LA SABA HAYA HAPA*

Image
👉👉👉 http://magatala.blogspot.com/2017/10/new-alert-matokeo-darasa-la-saba-haya.html _ps0902034.htm

MAKUBWA

Image
Kamishina wa tume ajiuzuru wazifa wake, Mmoja wa maafisa wakuu tume ya uchaguzi Kenya (IEBC) Dkt roselyn akombe ametangaza kujiuzulu katika tume hiyo chini ya wiki moja kabla ya uchaguzi mpya wa urais kufanyika nchini humo Dkt. Akombe ametuma Taarifa Kutoka Mjini New York anakoishi ambapo  alikuwa akifanyia kazi umoja wa mataifa kabla ya kujiunga na tume ya IEBC katika taarifa ,dkt Akombe alisema kuwa marejeleo ya uchaguzi utakaofanyika hauyafikii matarajio ya uchaguzi ulio huru na wa haki "bbc"                   Dkt. Akombe

TANZANIA YA VIWANDA.

Image
Katika kuhakikisha kuwa Tanzania ya viwanda inafikiwa, wataalamu wa Elimu wameshauri kuwa ufundishaji wa masomo  ujikite katika vitendo zaidi Hali ambayo itachochea katika uibuaji wa maarifa na vipaji mbalimbali Akiyasema Hayo mkuu wa Chuo cha ualimu Bunda alitaja kuwa moja ya sababu zinazochagiza Tanzania  isiweze kusonga mbele kimaendeleo na ili Hali Ina kila Aina za rasilimali  mhimu Kama vile madini ni aridh ni ukosefu wa wataalamu  mbalimbali katika masuala ya Tekinolojia Pia Mwl YOHANA MULLAH  ameongeza kuwa ili kuhakikisha Tanzania  inavuka walimu wana nafasi Kubwa Sana katika kuhakikisha ujuzi unakuzwa kwa watoto ikiwa ni pamoja na Uzalendo  utakaowawezesha watoto  kuishi vema katika Jamii hiyo  Watoto wakijifunza stadi mbalimbali za ufundi ikiwa ni pamoja na kufinyanga vitu